Kupatwa na Usingizi Mchana ni Dalili ya Ugonjwa Huu....
Utafiti :
uliofanywa na Watafiti toka chuo kikuu cha Tokyo Japan unaonyesha kuwa kulala mchana kwa zaidi ya saa moja ni chanzo cha kisukari, kusinzia mchana ni dalili ya ugonjwa wa kisukari aina ya pili.
Tags
Afya