Baada ya kusambaa skendo kuwa muimbaji wa nyimbo za Singeli Dulla Makabila kambaka mwanafunzi na kufungwa kifungo cha miaka 30, hatimaye Ayo Tv na millardayo.com imempata Makabila na kuzungumza naye kuhusu ishu hiyo je ni kweli na kama ni kweli mbona bado yupo uraiani..?
Tags
WASANII