B.O.T YAFUNGUKA KUHUSU MABILIONI YA DKT. SHIKA KUWASILI


Leo May 24, 2018 nakusogezea Stori iliyoshika headlines katika mitandao ya kijamii inayomhusu  Dr. Louis Shika ambaye kasema fedha zake na vipande vya dhahabu vimewasili kutoka Urusi na ameonesha Document za kupokelewa kwa mali hizo hapa nchini.

AyoTV imezungumza na Kaimu Meneja Mawasiliano wa B.O.T, Vicky Msina ambaye ameelezea kile kilichopo kwa upande wa Benki Kuu ya Tanzania.

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post