Leo May 24, 2018 kuna hii ya kuifahamu kumhusu Neil Harbisson raia wa Uingereza anayeishi Marekani ndiye anayeshikilia rekodi za dunia za Guiness kwa kuwa binadamu wa kwanza kupandikiziwa Antena kwenye fuvu la kichwa chake.
Antena hiyo inamsaidia Neil kusikia kwa ufasaha rangi kutokana na Antenna hiyo kuwa na uwezo wa kubadilisha mawimbi ya mwanga kuwa mawimbi ya sauti (converts light waves into sound waves) na kuyasafirisha mawimbi hayo mpaka kwenye mfumo wa ndani wa sikio la Neil.
Tags
TOP STORIES