Baraza la Sanaa(BASATA) limemfungia Msanii Roma Mkatoliki kujihusisha na sanaa kwa kipindi cha miezi 6 kwa kutotii agizo la Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
-Wizara ilimtaka Msanii huyo abadili maudhui ya wimbo wake wa Kibamia
Tags
WASANII