Diva: Siwezi Kutembea Kimapenzi na Mwanaume Yeyote wa Bongo Movie Kwakuwa Hawajui Kingereza


Yule mtangazaji mzuri kuliko watangazaji wote nchini na ambaye hivi karibuni aliweka wazi kuwa yeye mahari yale haipungui million 200am ezidi kuongeza vigezo vya mwanaume anaye hitaji kumuoa au kuwa na yeye kwenye mahusiano.

Diva the boss akihojiwa na kituo fulani aliweka wazi kuwa kamwe hatoweza kuwa na mahusiano na mwanaume yeyote wa bongo movie kwakuwa hawajui kingereza na yeye anapenda mwanaume mwenye akili nyingi na anayejua kingereza.

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post