Fid Q Ameshangazwa na kitendo cha Serikali kupitia Basata kumfungia Roma miezi sita bila kujihusisha na Sanaa
Ameandika haya kupitia Ukurasa wake wa Twitter:
Fareed Kubanda
"Na hili suala la kumfungia msanii asifanye kazi zake za sanaa kwa miezi sita,kisa tu kwenye mziki wake kuna neno moja au hata 10 yenye ukakasi sio sahihi...kuzizuia zisichezwe kwenye radio na TV ilikua ni adhabu tosha kabisa @BasataTanzania hii tabia ya KUKOMOANA mmeitoa wapi? "
Tags
WASANII