Watu 9 Wauawa Baada ya Binti Kufuata Dini ya Mpenzi wake Muislamu


Taarifa kutoka Nigeria ni kwamba watu 7 wamefariki dunia na wengine 15 kujeruhiwa vibaya baada ya kutokea vita Kaskazini Magharibi mwa Nigeria baada ya binti mmoja wa Kikristo kubadili dini na kuwa Muislamu.

Tukio hilo lililotokea katika Jimbo la Gwari ambapo binti huyo aliamua kujiunga na dini hiyo ya Kiislamu kutokana na ushawishi wa mpenzi wake, jambo lililosabisha hasira kwa vijana wengine wa Kikristo na kuanza kufanya vurugu na kuanza kuchoma moto nyumba.

Kamanda wa Polisi kwenye eneo hilo Muktar Aliyu ameliambia Shirika la Utangazaji la BBC kuwa mpaka sasa tayari wanawashikilia watu 10 wanaosemekana kuhusika na kisa hicho na uchunguzi zaidi unaendelea.

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post