TFF imemfungia Kocha Miaka 5 Kujihusisha na Soka


Kamati ya maadili ya shirikisho la soka Tanzania TFF jana kupitia kwa afisa habari wa shirikisho hilo Cliford Ndimbo imetangaza kuwafungia miaka mitano kujihusisha na soka mwalimu Joseph Kanakamfumu na katibu wa Mvuvumwa FC Ramadhani Kimilomilo kwa kuwakuta na hatia ya makosa kadhaa llikiwemo kosa la kugushi leseni za wachezaji.

“Kamati ya maadili iliyokutana February 3 2018 pamoja na February 10 2018 pamoja na mambo mengine ilipitia na kutoa hukumu kwa watuhumiwa wa kugushi leseni za wachezaji”  Cliford Ndimbo>


Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post