Uvutaji sigara, huhusishwa pia na kuongezeka kwa chembechembe nyeupe za damu kwenye shahawa ambazo kwa kawaida hutolewa kukiwa na ugonjwa ndani ya mwili, chembe hizi hupunguza uwezo wa shahawa kuingia na kuungana na yai na hivyo kusababisha kutotunga kwa mimba.
Tags
Afya