Kiwanda cha kutengeneza nguo cha Sunflug kilichoko mkoani Arusha kimetozwa faini ya Shilingi Milioni mia moja baada ya kubainika kuzalisha, kusambaza na kuuza nyavu
zisizokubalika kisheria na zinazotumika kuendesha uvuvi haramu katika maeneo mbalimbali nchini.
Tags
kitaifa