Vyakula Vinavyoongeza Uwezo wa Kujamiana: Nguvu na nyege ni muhimu katika kufurahia tendo la ndoa, maparachichi yanaweza kukupa vyote viwili.
Maparachichi yana madini, mafuta (yanayolinda moyo na kupunguza lehemu/cholesterol) na vitamin B6 ambavyo vyote hukupa nguvu na nyege.
Tags
Afya