“Siwezi muita Heri Muziki mpenzi wangu kanidhalilisha radioni” Diva


Kama ulisikiliza kipindi cha LEO TENA January 19, 2017 Mtangazaji wa Clouds Fm Diva the Boss alikuwa kwenye Interview ya kipindi hicho na mpenzi wake Heri Muziki, ambapo Heri aliulizwa kuhusu uhusiano wake na Diva na hakutaka kusema direct kama Diva ni mpenzi wake kitu kilicho mkera Diva hadi kutoelewana.

Ayo TV na millardayo.com imempata Diva na kuzungumza naye ameeleza kuwa hakupenda kile alichofanyiwa na Heri na hawezi tena kumuita mpenzi wake kwani kamdhalilisha redioni na ameshangaa sana yeye kutamka vile redioni wakati ni kweli walikuwa wapenzi.

Bonyeza PLAY kumsikiliza Diva the Boss.

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post