Msanii wa Muziki wa Singeli Dulla Makabila amefunguka baada ya kuachana na mpenzi wake kwa mara ya pili na kisha wakakutana kwenye msiba wa mama mzazi wa Johari.
Ameeleza kuwa kuna kipindi mapenzi yalikaribia kabisa kumuharibia kazi yake ya muziki hivyo akaamua kuachana naye, ili ajijenge kwenye kazi yake ya muziki na kufanya mipango ya maisha yake.
Tags
Muziki