Mtu mrefu zaidi duniani akutana na mtu MFUPI zaidi duniani huko Misri



Pale mtu mrefu zaidi na mfupi zaidi duniani walipokutana jana nchini Misri kusaidia juhudi za kukuza utalii nchini humo.

Mturuki Sultan Kosen ana urefu wa sentimita 246.5 wakati mwenziwe kutoka India, Jyoti Amge ana urefu wa sentimita 

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post