Meli yenye usajili wa Tanzania imekamatwa na vifaa vya kutengenezea silaha Liby

Serikali ya Ugiriki imeikamata meli yenye usajili wa Tanzania ikielekea nchini Libya huku imebebea vifaa vya kutengeneza silaha.


- Umoja wa Mataifa na Ulaya uliweka vikwazo vinavyozuia kuuza au kupeleka silaha Libya tangu mwaka 2011. 

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post