Katika karne hii ya 21 ushindani katika biashara na katika soko la ajira umekuwa ni mkubwa sana. Hii inapelekea biashara kuwa na changamoto nyingi na vile vile soko la ajira kuwa gumu na mishahara kuwa midogo kulingana na hali ya maisha.
Hivyo basi, ingawa watu wengi ufanya kazi kwa bidii sana, bado wanaishi kwenye MAKAZI duni, ELIMU duni kwa watoto, USAFIRI wa shida, AFYA duni kutokana na kukosa kipato cha kutosha kula vyakula sahihi na kulazimika kuingia kwenye wimbi kubwa la MADENI. Hii inawapelekea wengi kukata tamaa na kuona hivyo ndivyo maisha yalivyo na kusubiri siku ya kustaafu wakitegemea labda watoto wao ndio wataweza kuwahudumia uzeeni. Tatizo ni kwamba watoto nao wanapitia changamoto hizo hizo hivyo tunatengeneza utegemezi usio tegemeka.
Inawezekana kabisa na wewe ukawa kwenye changamoto hizi au mtu unayemfahamu. Ninachotaka kukwambia ni kwamba inawezekana kabisa kutoka hapo ulipo na ukafika kwenye malengo yako kwa kutumia tu muda wako vizuri na kujihusisha na shughuli ambazo zitakuongezea kipato bila kuhitaji mtaji mkubwa na gharama kubwa za kuziendesha.
Kwa miaka minne sasa nimekuwa nikifanya kazi na watu kama wewe ambao kwa kutumia muda wao wa ziada wameweza kuongeza vipato vyao kwa kiasi kizuri kiasi kwamba wameweza kuanza kutatua changamoto ndogo ndogo kwenye maisha na wako mbioni kwenda kutimiza malengo yao kwenye maisha.
Kama wewe ungependa kujifunza jinsi gani unaweza kufanya kama wao basi COMMENT NAMBA YAKO hapa au itume kwenye inbox na nitakupigia kwa maelekezo zaidi.
“Inawezekana, timiza wajibu wako”. Mwalimu Julius K. Nyerere