Waziri Mwakyembe alalamikia Mavazi ya Uchi kwa Wakristo Kanisani

WAZIRI MWAKYEMBE ALALAMIKA NA MAVAZI YA UCHI YA WAKRISTO MAKANISANI.

AKIRI KUWA VAZI LA HIJAAB NDILO VAZI LA STARA.

"Mavazi ya watu wetu siku hizi katika makanisa yanakuwa changamoto, ni afadhali kidogo katika misikiti ambako wanavaa kistaarabu. Mkutano huu ndo uwe kioo cha kurekebisha hali hiyo. Viongozi wetu tuwe mstari wambele katika kurekebisha mavazi ya waumini wetu ili kurudisha maadili ya taifa. Nawaomba msichoke kuimba kuhusu mavazi stahiki yanayoendana na maadili ya taifa" Dk Harrison Mwakyembe (Waziri wa habari ,sanaa ,utamaduni na michezo.

MAWAZO PEVU

Mavazi ya waislamu yenye stara si misikitini tu hadi mtaani kwa wanaojitambua hivyo jitahidi huenda nao wakajua umuhimu wa hijaab maana hivyo vimini makanisani ni mtihani.

UNGANA NASI :

Kwa uchambuzi wa habari na matukio mbalimbali kitaifa na kimataifa kuhusiana na ulimwengu wa kiislamu jiunge na group letu la facebook la Uislamu Sahihi ni Qur'an na Sunnah au tembelea account yetu ya Habari za kiislamu insha Allah utahabarishwa kila siku.

Wabillahi at-Tawfiyq.

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post