Spika Wa Bunge, Job Ndungai Amewakumbusha Wabunge Wa Upinzani Wanaotaka Marais Wastaafu Washtakiwe Kuhusu Sakata La Mchanga Wa Madini Wakumbuke Wanao Mawaziri Wakuu Wastaafu Wawili (Sumaye Na Lowassa), Ambao Nao Watahusika Pia.
"Mabadiliko Ya Katiba Mnayoyataka Yakipitishwa Na Viongozi Mlionao Wakikamatwa Msije Mkalalamika Tena" - Ndungai.
Ndungai Ameyasema Hayo Leo Bungeni Baada Ya Mbunge Wa Kilombero, Peter Lijualikali (Chadema), Kusema Haiwezekani Mawaziri Na Watendaji Wengine Wa Serikali Wakafanikisha Mikataba Mibovu Ya Madini Bila Ya Ridhaa Ya Rais.
Toa Maoni Yako
Tags
Siasa