SEIF SHARIF ATINGA MAREKANI KESHO KUPEWA JUKWAA KATIKA MKUTANO MAALUM KUZUNGUMZIA UCHAGUZI WA ZANZIBAR

.

Seif Sharif Hamad aliyekuwa mgombea urais wa Zanzibar katika uchaguzi wa Oktoba 2015 akiwa na ujumbe wake amewasili mjini Washington DC Marekani kikazi zaidi.

Hamad na ujumbe wake kutoka chama kikuu cha upinzania Zanzibar Jumatatu, tarehe 13 atashiriki mkutano ulioandaliwa na Centre for Strategic and International Studies (CSIS) kujadili matokeo na matukio ya uchaguzi mkuu wa tarehe 25 Oktoba, 2015.

Mkutano huo unatarajiwa pia kutoa maazimio ya nini kinanapaswa kufanywa baada ya ubakaji wa demokrasia uliofanywa.

Chanzo : Mwandishi Wetu

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post