Neno la DW kwa Rais JPM na Ripoti ya pili ya Mchanga

Rais wa Tanzania John Magufuli amepokea ripoti ya pili kuhusu kuhusu biashara na mikataba ya madini nchini humo kati ya mwaka 1998 na 2017. Mchoraji wa DW Said Michael anatoa mawazo yake baada ya hatua hiyo. Je unamaoni gani kwa siasa za Tanzania?

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post