Hali ya ZARI bado si nzuri

Kutoka katika Snapchat ya Kiongozi wa WCB Diamond platinumz (SIMBA) akionyesha kuwa mke wake mpendwa Mama Tiffah Zari the bosslady amelazwa huko Nchini Afrika ya Kusini. Mungu aendelee kumpa afya njema na apone salama amin.

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post