Ni baada ya kuvunja na kukiuka kanuni za Uandishi wa habari, baada ya kuandika habari tata dhidi ya Marais wastaafu Mh J.M Kikwete na Mh B.Mkapa "ZEGWE" maneno ambayo Rais wetu Mh.JPM alisema wazee wetu hawa wasiusihwe na khasfa yeyote ile na waachwe wapumzike.
Tags
kitaifa