Mzee aliyebuni nembo ya taifa (Adam na Hawa,) apelekwa hospital Muhimbili

Hospitali ya Taifa Muhimbili imeanza kumfanyia uchunguzi mchoraji  wa Nembo ya Taifa Mzee Francis  Kanyasu aliyekuwa akitaabika bila huduma .

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post