Hii ndiyo sababu ya Magari ya wanafunzi kuwa na rangi ya Manjano

Unaambiwa Sababu ya mabasi ya shule kuwa na rangi ya njano ni kuepusha ajali, binadamu anaona rangi ya njano haraka kuliko rangi nyingine. Ili kuepusha ajali ndo maana magari mengi ya wanafunzi hapa duniani yanatambulika kwa kupakwa rangi  ya manjano

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post