Waislamu Duniani kote , kuungana katika kuuanza Mwezi mtukufu wa Ramadhani

May 26, 2017 mwezi Mtukufu was Ramadhani ulionekana katika maeneo mengi hapa Duniani, tumuombe Allah atujaalie katika Ibada zetu ndani ya mwezi huu mtukufu was Ramadhani

#Nawatakia Ramadhani Kareem waislamu wote  duniani, kwa niaba ya Kioja Blog Cooperation

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post