Mlipuko wa Mabomu KENYA

Kenya imetuma wanajeshi kwenda kutegua mabomu yaliyotegwa barabarani baada ya watu 20 wakiwemo maafisa 11 kuuawa kwa milipuko nchini humo. Mapema juzi Bomu lililokuwa limetegwa barabarani liliweza kuua maofisa wa polisi 2 waliyekuwa ndani ya gari hilo  wakiwa katika majukumu yao ya Usalama wa  taifa hilo.

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post