“Kuna wazazi wengi wanajua kuwa mpaka matokeo yatoke mwezi wa Saba ndio waanze ku-apply nafasi za Vyuo. Mimi nawaambia kuwa unaweza ku-apply nafasi ya Chuo hata kwa kutumia matokeo yako ya Form Four, matokeo ya Kidato cha Tano kuingia Kidato cha Sita, lakini pia kutumia hata matokeo ya Mock.
“Global Education Link ni mawakala wa kupeleka wanafunzi nje ya nchi kusoma. Tuna wanafunzi wengi na wenye qualification nzuri. Tuna wanafunzi India, China, Ukraine, South Africa, Malaysia, U.S.A na nchi nyingine nyingi.” -.Abdulmalick Mollel.
Bonyeza hii video hapa chini kufahamu mengi zaidi kuhusu huduma za Global Education Link.