Mambo Magumu kwa Sadio Mane ndani ya Bayern Munich

Mshambuliaji wa zamani wa Liverpool Sadio Mane amekiri kuwa kuhamia kwake Bayern Munich hakujawa rahisi. Nyota huyo kutokea Senegal alifanikiwa kufunga magoli manne katika mechi zake nne za mwanzo, baada ya hapo hali imekuwa ngumu. - CC: Kitenge Sports

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post