H Baba: Namuomba sana Alikiba awarudishe Cheed na Killy, Konde Gang wanapata shida


Msanii mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva @h.baba_ ameonyesha kutofurahishwa na namna @harmonize_tz anavyoendesha lebo yake ya Konde Gang.

@h.baba_ amemuomba @officialalikiba kuwarudisha @officialcheed na @officialkilly_tz ambao walikuwa wasanii wake na kudai kule hawalipwi.

@h.baba_ amesimulia namna @ibraah_tz anavyopitia wakati mgumu huku akienda mbali zaidi akisema kiki ya @ibraah_tz na @miriamodemba @harmonize_tz alimkatazaH Baba: Namuomba sana Alikiba awarudishe Cheed na Killy, Konde Gang wanapata shida

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post