NAMPENDA Rafiki Yangu Mpaka Naogopa

 

Mimi ni Msichana wa miaka 19 Nilipoingia 4m 5 nimesoma shule ya girls only...nilimpenda rafiki yangu mmoja sanaaaa kuliko wote...nilimpa zawadi nyingi hata wakati wa likizo nilikuwa namtembelea kwao..nilimpenda sana...kila tukigombana tunasameheana.

Juzi aliniboa kidogo nikamtumia meseji za hasira za kwamba simpendi tena, ila badaae hasira zilipoisha nikajikuta nalia sana kumpoteza rafiki yangu nilimuomba msamaha ila hakunijibu sababu meseji nilizomtumia zilikuwa mbaya sana.Nimemuomba msamaha ila hajanijibu..Bado nampenda sana yaaani hata boyfriend wangu simpendi kama navyompenda huyu rafiki yangu japo si wapenzi ila namfeel sana yaaani sometimes natamani nimkiss japo ni msichana mwenzangu ...

Naogopa jamani nishaurini ama ndio hizi wanazosema dalili za Usagaji

By Kurwa

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post