BREAKING NEWS: NECTA yatangaza matokeo ya kidato cha nne, cha pili, QT na darasa la nne

 



Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza matokeo kidato cha nne ambapo Watahiniwa wa Shule 422,388 (87.30%) kati ya Watahiniwa 483,820 wamefaulu Mitihani yao “ongezeko la ufaulu ni 1.46% ikilinganishwa na mwaka 2020”

“Wasichana waliofaulu 218,174 (85.77%) na Wavulana wapo 204,214 (89.00%)”-Katibu Mtendaji NECTA, Dkt. Charles Msonde

1.MATOTO YA KIDATO CHA NNE (CSEE) 2021 bonyeza hii link hapa chini

https://matokeo.necta.go.tz/results2021/csee/csee.htm

2.Matokeo ya Mtihani wa Maarifa (QT) 2021 bonyeza link kwa chini

https://matokeo.necta.go.tz/results2021/qt.htm

3.Matokeo ya Upimaji wa kitaifa wa Kidato cha pili (FTNA) 2021, bonyeza link iliyopo kwa chini

https://matokeo.necta.go.tz/results2021/ftna/ftna.htm

4.Matokeo ya Upimaji wa Kitaifa wa darasa la nne  (SFNA) 2021

https://matokeo.necta.go.tz/results2021/sfna/sfna.htm

1 Comments

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

  1. Very nice and interesting article. Thanks for sharing this amazing article. Also check our website
    Best Poetry Wala

    ReplyDelete
Previous Post Next Post