EXCLUSIVE:MEDDIE KAGERE AFUNGUKIA ISHU YAKE KUITWA MZEE

 


MEDDIE Kagere, mshambuliaji wa Simba amesema kuwa yeye hajali kuhusu wale ambao wanazungumzia umri wake ila kikubwa ambacho anaangalia ni kile ambacho anakifanya. Amesema kuwa kuna nchi ambazo mtu mwenye umri mkubwa kwao ni biashara lakini anashangaa namna ambavyo watu wa hapa wanazungumza sana kuhusu umri.

 Kwa sasa Meddie Kagere yupo nchini Morocco na timu ikiwa imeweka kambi kwa ajili ya maandalizi ya msimu wa 2021/22.

 

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post