TAZAMA NAMNA JEMBE JIPYA LA SIMBA LILIVYOANZA KAZI

 


INGIZO jipya ndani ya kikosi cha Siba, Israel Mwenda ni miongoni mwa wachezaji ambao wapo kambini nchini Morocco.

Agosti 16, Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes ilimtambulisha nyota huyo kwa ajili ya kuwatumikia kwa msimu ujao wa 2021/22 na amesema kuwa yupo tayari kupambana kwa ajili ya timu hiyo.


Hizi hapa ni baadhi ya picha zake akiwa ameanza mazoezi nchini Morocco:-


Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post