Mchambuzi nguli wa soka Tanzania, Mwalimu Alex Kashasha amefariki dunia leo Agosti 19, 2021 wakati akipatiwa matibabu katika Hospital ya Kairuki Mkoani Dar es salaam.
Habari Kamili zitakujia hivi punde.
<<<<BOFYA HAPA KUPAKUA APP YETU ILI KUPATA HABARI KWA URAHISI>>>>
Tags
Michezo