Video:Aunt Ezekiel aangua kilio mahakamani, kesi ya Dawa za Kulevya ‘Said Mbasha na wenzake’

 


Kutokea Mahakamani Kisutu ambapo Camera za Ayo TV na Millardayo.com zimemnasa msanii Aunt Ezekiel aliyefika mahakamani hapo kwa ajili ya kufatilia mwenendo wa kesi ya Dawa za Kulevya inayomkabili Said Mbasha na wenzake. Aunt Ezekiel amefika mahakamani hapo leo ambapo akiwa ndani ya chumba cha mahakama alionekana akibubujikwa na Machozi kabla ya washitakiwa kusomewa mashitaka yao.

VIDEO:

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post