Mama Dangote Atamani Mondi, Tanasha Warudiane

 


MAMA mzazi wa msanii wa muziki wa Bongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond’ Sandra Kassim ‘Mama Dangote’, hivi karibuni alishika vichwa vya habari baada ya kuposti picha ya kijana wake akiwa na mkwe wake Tanasha Donna kwenye insta stori yake, kisha akauliza kama wakirudiana itapendeza.

“Wakirudiana itapendeza?” alihoji mama huyo

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post