BREAKING:MECHI YA YANGA V SIMBA YAPELEKWA MBELE

 


 

ULE mchezo wa dabi kati ya Yanga na Simba ambao ulikuwa ukisubiriwa kwa shauku kubwa na mashabiki umepelekwa mbele na Bodi ya Ligi Tanzania hivyo itapigwa Novemba 7.


Mechi hiyo mpaka sasa ilikuwa inahesabu siku 11 kabla ya watani hao wa jadi kukutana na tayari Yanga ilishaingia kambini jana, Oktoba 6 kuanza maandalizi.


Taarifa rasmi iliyotolewa leo na Bodi ya Ligi Tanzania imetajasababu kuwa ni pamoja vikwazo kwa usafiri kwa wachezaji walioitwa kwenye timu zao za Taifa kutokana na Janga la Virusi vya Corona.


Taarifa hii hapa:-


BREAKING: Mechi ya Yanga v Simba yapelekwa mbele

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post