Mwana FA Afunuka Kuhusu Kupokea Vitisho Baada ya Kutangaza Kugombea Ubunge


Msanii MWANA FA Afunguka Kuhusu Kupokea Vitisho Kwa Watu Tofauti Tofauti Ikiwa Tu Ni Siku Chache Zimepita Baada Ya Kutangaza Nia Ya Kutaka Kugombea Ubunge, Kupitia Xxl Ya Clouds FM FA Amesema


''Zishanitokea Sana Tu Yani Kuna Uwoga Flani Hivi Ata Siuelewi Unatoka Wapi Ambapo Umekua Mkubwa Kiasi Kwamba Unanipa Matumaini Kwamba Ninacho Kifanya Kuna Watu Kina Watingisha, Mimi Nilishaamua Akilini Kwangu psychological Niko Sawasawa Kabisa Na Ni Vitu Ambavyo Nilivitegemea Siamini Hivi Vitisho Wakati Mwingine Unaambiwa Usije Huku Kumeshajaa Sasa Alojaa Ni Nani Na Nani Wanaoenda Kugombea Mpaka Mimi Siwezi Kuja'' Mwana FA

''Kauli Kauli Nyingi Kuna Vitu Vitu Vya Uongo Huyu Jamaa Amegawa Pesa Na Naamini Vyote Vilivyotokea Sijaona Hata Moja Ya Kumi Ya Mziki Mzima Ntaoenda Kukutana Nao So Nimejiandaa Vimetokea Vinatokea Vitatokea'' @mwanafa

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post