BEN Pol "Nimepata Mtu Sahihi Kwangu Najivunia Kuwa Naye"

"Sikuwahi kupanga kuweka mahusiano yangu wazi, lakini najishangaa why sasa nayaweka wazi maana kuna wakati tunajichukua video na picha na sio kwa sababu ya kupost lakini najikuta tayari nimepost na nadhani yote haya yanatokana na kupata mtu sahihi kwangu na najivunia kuwa naye” - Benpol

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post