Pichani Queen Facard ambaye ni socialite maarufu nchini Ghana katika interview mpya amejitosa kueleza kuwa amelala kimapenzi na wanaume zaidi ya 100 hadi sasa na bado Idadi inaongezeka. Chanzo cha yote amesema awali alituma sana maombi ya kazi sehemu mbalimbali kwa muda mrefu lakini akaambulia patupu
Anasema baada ya kutafakari sana na kujitazama akagundua yeye ni wa thamani kubwa hivyo hawezi kulala njaa. Ndipo anasema akaanza kutupia picha za mitego mitandaoni ambapo anasema akaunti yake ikaanza kukua haraka huku wanaume nao wakianza kutupa kete zao kumtaka ndio ikawa hivyo na umaarufu ukamfuata.

Tags
Udaku