Diamond Platnumz Atangaza Habari NJEMA Kuhusu Wasafi FM

Mkurugenzi Mkuu na CEO wa Wasafi Media Diamond Platnumz kupitia interview aliyoifanya kwenye Sports Arena amefunguka baada ya kuulizwa na Maulidi Kitenge kuhusu Wasafi Media kwenda mikoani.

Amefunguka "Mwanzo tulikuwa hatujapa leseni ya Serikali kurushwa redio nchi nzima ila kwa mwaka huu tumeaminika na tumepewa leseni na Serikali kurushwa nchi nzima muda si mrefu tutaanza kurusha mikoani"

2 Comments

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post