Wolper awatak Ma-Slay queens kujifunza hiki

Kufuatia mapambano dhidi ya virusi vya Corona imethibitishwa kuwa 'Kujifukiza' ni moja kati ya njia ambazo zinaweza kusaidia kuimarisha kinga ya mwili wa Mwanadamu na hivyo kuuweka mwili sawa kuweza kuepukana na maradhi mbalimbali.

Kibongo bongo, imeenda viral kipindi hiki na tumewashuhudia baadhi ya watu wakiitumia njia hiyo wakiwemo watu maarufu. Mmoja kati ya hao ni movie star Wolper ambaye jana alienda viral baada ya kushare video yake kwenye IG baada ya kujifukiza.

Wolper amewashauri wadada wa mjini (Ma-Slay Queens) kutumia njia hiyo kujiweka sawa wao na watu ambao wanakutana nao hasa kwa kipindi hiki ambacho Corona lime-take over

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post