JINSI YA KUJUA KAMA SIMU/LINE YAKO IMEHACKIWA NA MTU MWINGINE



Habari ndugu msomaji wa makala zetu tunatumaini u mzima wa afya. Sasa katika makala hii fupi sana itakuwezesha wewe kutambua kama laini ya simu yako kuna mtu anafatilia text zako au la?!...

Muda mwingi huwa tunatumia simu zetu na kwenda katika setting mbalimbali na kusababisha kufanya setting ya ku forward simu zako au sms zako kwa mtu mwingine pasipo ya wewe kufahamu...

Sasa kwa kuliona Hilo The world of Technology Tanzania imeamua kukujuza juu ya hili kwa kifupi kabisa.

Fata hatua hizi chache kujua na kuharibua mfumo huo kama ulikosea au mtu alikuja kufanya setting lwa makusudi ili aweze kupata simu zako na sms zako.

Chukua simu yako kishaingia kwenye uwanja wa kupiga simu kisha bonyeza *#61# alafu piga. Kama itakutea ujumbe umeandikwa kwa maneno FORWARDED basi hapo ujue kuna mtu anafatilia jumbe zako na anasikiliza simu zako pasipo ya wewe kujuwa.



Sasa kama utataka kuzuwia mtu huyo kufatilia simu zako na jumbe zako basi kwa kutumia hiyo hiyo laini yako utapiga ##21# ili kuondoa
monitoring device kwenye namba yako na itakuletea ujumbe kama inavyoonekana kwenye picha hapa chini

Basi kwa kufanya hivyo utakuwa umefanikiwa kuondoa huduma hiyo ya mtu kufatilia jumbe zako pamoja na simu zako.

Like page yetu ya facebook ili uwe updated na kila post zitakazotolewa na usipitwe na chochote. Karibu sana.

Share na wengine.



Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post