Amber Rutty 'Toka VIDEO Yangu ya Ngono Imevuja Kuna Watu Wanaona Natakiwa Nife Nisionekane Katika Dunia Hii'

Mimi nimekuwa mtu wa kupata matatizo kila siku kwenye maisha yangu yote, kuanzia utotoni hadi hapa nilipofikia, ninachoweza kusema kwa ndugu,jamaa, na Watanzania wote wanisamehe maana sijaona kosa langu lilipo, japo watu wananichukia na kuniona binadamu mkosefu kuliko mtu yeyote hapa Duniani" ameeleza Amber Rutty.


Aidha msanii huyo ameongeza kusema "Najikuta mnyonge kwa binadamu wenzangu ambao wanajiona wamekamilika, kuna baadhi ya watu wanajua umuhimu wangu kuna wengine wananiona sio binadamu kamili natakiwa nife na katika Dunia hii nisionekane tena".

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post