Ni katika tukio lililoishangaza dunia hivi karibuni mwishoni mwa wiki,baada ya kijana mmoja raia wa Afghanistan ambae pia alikuwa akifanya kazi ya Ulinzi, baada ya kumuua kwa risasi raia mmoja wa Ujerumani. Tukio ambalo lilisemwa kama ni tukio la kiubaguzi dhidi ya Wajerumani, na chuki iliyodhihiri kwa wa Afghan (Raia wa Afghanistan) dhidi yao.
Source : www.bbc.com/swahili
Source : www.bbc.com/swahili