Mbowe “Jafo anasema ni mchezo wa Kisiasa, hatuwapi ushirikiano Viongozi hao” (+video)


Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman MBowe “Tunawaeleza Wanachama wetu, hatushiriki chaguzi hizi za Serikali za Mitaa, wote wajitoe na wasitambue Viongozi watakaopatikana katika Serikali za Vijiji, Vitongoji na Mitaa, tusilaumiane, hatutotambua Kiongozi yeyote aliyepatikana kwa ubatili huu, hatutotoa ushirikiano”.

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post