Depot ya Kuhifadhi mafuta ya Lake Oil inawaka moto muda huu eneo la Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Moto umekuwa mkubwa kiasi cha jeshi la zimamoto kuomba kampuni na taasisi zenye gari ya zimamoto kuja kusaidi.
Jeshi la zimamoto na uokoaji linaendelea kujaribu kuzima moto katika Matanki ya kuhifadhia mafuta ya Kampuni ya Lake Oil Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Aidha hali ya wasiwasi ni kubwa kutokana na eneo hilo kuzingirwa na Matanki mengi yanayohifadhi mafuta ya aina mbalimbali.
Sgt. Zablon Mangare - Afisa Habari jeshi la Zimamoto amethibitisha

Tags
HOT NEWS