PICHA (10): OMMY DIMPOZ AKIWA NA NANDY AKIWA NA KICHUPI TU

Kama na wewe umeziona picha 9 za Nandy na Dimpoz ukatamani kupata maelezo yake, Dimpoz ameongea na millardayo.com

Mara ya mwisho kumuona Ommy Dimpoz kafanya ngoma na Msanii wa kike Tanzania ilikua zaidi ya maka mitano iliyopita alipoidondosha ‘me and you’ ft. Vanessa, time hii anaidondosha hii ft. Nandy.

Ukweli ni kwamba picha hizo zinatoka kwenye scenes za goma lake jipya ft. Nandy ambalo linadondoshwa siku yoyote wiki hii

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post