HomeMichezo MSUVA MAMBO SAFI, KUTUA BENFICA MWEZI WA 7 byAdmin -07 January 0 Meneja wa Simon Msuva amethibitisha kuwa mchezaji huyo amesaini mkataba wa miaka mitatu wa kuichezea Benfica ya Ureno lakini anaenda kwa mkopo wa miezi 6 Panathaikos ya Ugiriki, Msuva ataungana na Benfica rasmi July 2020, kila la kheri @smsuva27 Tags Michezo Facebook Twitter